WORLD SOLUTION

WORLD SOLUTION
full

best news best news best temlates best templates best templates best news best news

Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.


EDITING BADO ZINAENDELEA.-- USIACHE KUTEMBELEA BLOG YETU ANGALAU MARA 1 KWA SIKU HAKIKA UTAKUA WA TOFAUTI.-- ENDELEA KUFURAIA BLOG YETU.
#htmlcaption1 Go UP! Pure Javascript. No jQuery. No flash. #htmlcaption2 Stay Connected

Thursday, 25 July 2013

HAYA NDIYO MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MASHUJAA MOROGORO 2013.

 HAYA NDIYO MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MASHUJAA MOROGORO 2013.


Muonekano wa eneo la nnara wa mashujaa uliopo eneo la Posta wakati wa maadhimisho ya sherehe ya kuwakumbuka mashujaa waliopoteza maisha katika vita kuu ya pili ya dunia na zile za Kagera mwaka 1978/1979 iliyoadhimishwa kimkoa eneo hilo la posta mkoani Morogoro leo julai 25/ 2013.
PICHA JUMAMTANDA.BLOG
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera a.k.a Kocha akipokea heshima muda mfupi kabla ya kuanza sher
ehe za kuwakumbuka mashujaa kwa mkoa wa Morogoro.
 Bendera akiweka ngao katika mnara wa kumbukumbu wa mashujaa mkoa wa Morogoro.
Hapa akitoa heshima.

 
Mwanajeshi Mstaafu aliyepigana vita ya pili ya dunia AC Koplo Hamisi Salum Mlapakolo (94) akiweka zana za kivita za jadi katika mnara wa kumbukumbu wakati wa sherehe hizo.
  
Haya ndiyo majina ya waliopoteza maisha.
 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Amiri Juma Nondo akiweka mashada ya maua wakati wa uwekaji wa vifaa vya mbalimbali vilivotumika katika vita.
 Kiongozi wa gwalide wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa katika hali ya ukakamavu mbele ya kikosi chake.
  Kiongozi wa gwalide wa jeshi la magereza akiwa katika hali ya ukakamavu mbele ya kikosi chake.
 Kiongozi wa gwalide wa jeshi la polisi akiwa katika hali ya ukakamavu mbele ya kikosi chake.
 Mwakilishi wa Shekhe Mkuu wa mkoa wa Morogoro Ustadh Ally Said akiomba dua.
 Kiongozi wa dhehebu la Ahamaddiya naye akiwaombea dua njema askari hao waliofariki dunia katika vita wakati wa maadhimisho ya mashujaa.
Mhashamu Askofu wa Kanisa Katoriki jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude akiwaombea dua njema askari waliofariki dunia wakati wa vita katika kilele cha mashujaa.
Kaimu Askofu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Morogoro, George Pindu akisoma kwa kunukuu moja ya kifungu kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia katika maadhimisho hayo.


 Hiki ni kikosi cha maombezi kikitoa heshima zao za mwisho wakati wa kilele cha maadhimisho hayo.
Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro Anthony Mtaka wa pili kutoka kulia akiwa na viongozi mbalimbali wa serikali katika sherehe hizo.
 
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera aliyejishika mikono akiwa na viongozo mbalimbali wakati wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea. 

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment